ABOUT ME



Michael Charles Chali,Raia ni Mtazania Amezaliwa Tarehe 01/12/1992 Siku ya Jumanne saa 8:30 Usiku katika Hospitali ya Tumbi Iliyopo Katika Mkoa wa Pwani (Kibaha)

1.FAMILIA YAKE:
Mama Mzazi wa Michael Anaitwa 'Vaileth Shayo' kabila ni Mchaga pia Baba yake Mzazi Anaitwa 'Charles Chali Michael' Kabila ni Mngoni
familia ya Mr. Charles wamefanikiwa kupata watoto 2 tu Ambao ni Michael Charles(Mvulana) wa kwanza Kuzaliwa na wapili kuzaliwa ni Mariana Charles(Msichana).

2.ELIMU:
Michael Alianza Elimu ya Chini na Msingi (Primary) Mwaka 1998 katika Shule ya St.theresia Morogoro Mpaka darasa la kwanza akahama na kuhamia Mkoa wa Pwani  Kibaha- Maili Moja ambapo ni Kwa bibi yake Mzaa mama Anaitwa Sarah Endwea Kuendelea na  Elimu ya Msingi "Primary" Darasa la pili Katika shule ya Msingi Mkoani Akasoma mpaka la 3, Akahama Mwaka 2003 na Kuhamia Shule ya Msingi Gongo la Mboto na kuendelea Darasa la 4-5, Akahama tena na Kuhamia shule ya Msingi Majani ya Chai (Kipawa) Na kuendelea darasa la 5-7 kumaliza Elimu ya Msingi 2007.
•Elimu ya Secondary; 
Alifanikiwa kufahulu Mwaka 2008 na kuchaguliwa Shule ya Secondary Itwayo Azania Secondary kwa bahati mbaya na matatizo ya kifamilia yao Akachelewa Kuriport Mapema Kwa kuanza kusoma Shuleni hapo kisha jina, namba yake likapangiwa Shule nyingine ya Kata Iliyopo Chanika- Mahali panapoitwa Mvuti  Shule ya Mkera Secondary School Form 1- 2 Akahama na Kuhamia Mkoa wa  Pwani Kibaha katika Shule ya Binafsi itwayo Fabcast School na kuendelea Form 3-4, nakumaliza Elimu ya O- level

3. ELIMU YA JUU(CHUO) :
Namno Mwaka 2011-2013 Alianza Kusoma Course ya Network level ya Cerficate & Diploma katika Chuo cha Mafunzo ya  Computer (UCC) Kilichopo Maeneo ya
(Posta) Jengo la ghorofa la Crdb chumba namba 3...
Alipomaliza, Mwaka 2014 Aliendelea kusoma na kujiunga na Chuo Dar es salaam School Of Journalism- (Ilala)  Course ya Journalism level ya Certificate (Astashahada) & Na sasa Anaendelea na Diploma Katika Chuo Hicho cha (Dsj) Ni moja kati ya vyuo vitatu navyo ni (Dsj,Msj,Rct) Anavyomiliki Bw. julius Chami (Shujaa)

No comments:

Post a Comment