Tuesday 19 April 2016

KUJENGA UHUSIANO MZURI NA JIRANI YAKO


Jinsi gani unaweza kumjua Jirani yako mwema

Katika maisha tunaishi katika hali ya kutegemeana, hata siku moja huwezi kusema au kujihakikishia kuwa umekamilika katika kila kitu hata kufikia hatua ya kujiona kuwa hauhitaji msaada kutoka kwa wengine.


Fahamu ya kwamba mungu ametuumba katika hali ya kusaidiana wenyewe kwa wenyewe, kwani kila mtu kapewa uwezo wake tofauti na mwengine na hivyo kuhitajika kumsaidia yule asiye na uwezo huo.

No comments:

Post a Comment