Saturday 23 April 2016

DAR ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM (DSJ)


LEO ASUBUHI WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI (DSJ) NGAZI YA STASHAHADA- A MWAKA WA KWANZA
WALIKUWA NA ZIARA MAALUMU "DSJ -PR ASSOCIATION 2016"
KWAAJILI YA KWENDA SHULE YA MSINGI UHURU MCHANGANYIKO KWAAJILI KUTEMBELEA WATOTO WALIOWALEMAVU NA KUSAIDIA KUTOA MICHANGO MBALIMBALI YA MAHITAJI

MICHANGO ILIYOTOLEWA NA DSJ:

SUKARI, SABUNI YA UNGA,SABUNI YA KUOGEA, DAWA YA MSWAKI, PENCILS, MAFUTA YA KUPIKIA, MAFUTA YA KUPAKA, JUICE , CHUMVI, N.K

PAMOJA NA "PED" KWA UPANDE WA  WANAFUNZI JINSIA YA KIKE WALIOFIKIA UMRI WA KUELEKEA UTU UZIMA

PIA DSJ ILITOA MCHANGO WA PESA KWAAJILI YA KUTENGENEZEA MASHINE TANO (5) ZA KUSOMEA WANAFUNZI WASIOWEZA KUONA

MRATIBU WA MASOMO CHUO CHA DSJ MADAM JOYCE MBOGO
AMEWAPONGEZA UONGOZI WA SHULE YA MSINGI 'UHURU MCHANGANYIKO'
KWA KUKUBARI KUWA PAMOJA NA CHUO CHA DSJ KWA SIKU YA LEO KATIKA SHIRIKIANA KUSAIDIANA NA KUWATEMBELEA WATOTO (WANAFUNZI WALIOWALEMAVU)
AMETOA SHUKRANI ZA DHATI KWA MWALIMU MKUU WA SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO

IMETOLEWA NA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI (DSJ)

No comments:

Post a Comment